Monday, July 8, 2013
WABUNGE NA BONGO MUVI WALIVYOGEUKA MABONDIA JANA , MDEE VS WOLPER NA AUNTY EZEKIEL VS BULAYA watoka SARE
Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10. (HM)
Wolper na Mdee wakipambana vikali
Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Pambano lao liliisha kwa sare pia. Chanzo: Shaffihdauda
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment