BAADHI YA MADUKA AMBAYO HABARI24 IMEKUTA YAMEFUNGWA BAADA YA MGOMO HUO WA WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA KARIAKOO LEO MAPEMA ASUBUHI |
HAFUNGUI MTU HAPA |
UMATIU WA WAFANYA BIASHARA WAKIWA WAMEKAA NJE YA MADUKA YAO |
WAFANYA BIASHARA WALIPOAMUA KIVAMIA OFISI YA JUMUIYA YA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO |
NJE YA OFISI ZAO PIA WAFANYA BIASHARA WENGINE WALIKUWA WAKITOA KILIO CHAO KWA WANAHABARI |
No comments:
Post a Comment