UFOO SARO AREJEA KAZINI RASMI,TIZAMA PICHA HIZI AKIWA KAZINI LEO
MWANDISHI WA HABARI WA ITV UFOO SARO LEO AKIWA KATIKA MOJA YA KAZI ZAKE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUKUMBWA NA MSALA MKUBWA WA KUPIGWA RISASI NA ALIYEKUWA MME WAKE JIJINI DAR ES SALAM KIPINDI KIFUPI KILICHOPITA
No comments:
Post a Comment