Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo aliyekuwa hafisa habari
wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga
anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama
mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.
No comments:
Post a Comment