Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. |
Rais
Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Dkt. William Mgimwa,
wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho zilizofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo
umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiifariji familia ya marehemu Dkt. William
Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo
mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilala, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo umesafirishwa leo
kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
Mawaziri
wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. William Mgimwa wakati
likipakiwa kwenye gari tayari kuanza safari ya kuelekea Uwanja wa ndege
kuelekea mkoani Iringa kwa maziko
Mama Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho.
Spika wa Bunge Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana heshima za mwisho
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, heshima za mwisho
Baadhi ya Mawaziriki wakiwa katika foleni kuelekea kutoa heshima zao za mwiho.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mwili ukipakiwa kwenye gari.
No comments:
Post a Comment