TUMERUDI KWA KISHINDOOO.SASA NI HABARI KWA WOTE
BAADA YA MAPUMZIKO YA MUDA MFUPI YA MWAKA MPYA YALIYOAMBATANA NA MAREKEBISHO MAKUBWA NDANI YA BLOG YAKO YA HABARI24 SASA IMERUDI TENA MWAKA 2014 KWA KISHINDO NA KIVINGINE KABISA.
UONGOZI WA HABARI24 BLOG UMEFANYIA KAZI MAONI YA WASOMAJI WAKE WOTE NA SASA IMEJIPANGA KUWAPA HABARI ZILIZOAMBATANA NA UCHAMBUZI WA HALI YA JUU SANA KUTU AMBACHO WASOMAJI WETU WALISHAURI SANA.
TUNAWASHUKURU SANA KWA MAONI YENU WOTE WATANZANIA KWANI MMETUFUMBUA MACHO NA SASA TUTAWAPA KITU ROHO INAPENDA.
MWISHO TUWATAKIENI HERI YA XMASS NA MWAKA MPYA
HABARI24 BLOG ----HABARI KWA WOTEEEEEEE
No comments:
Post a Comment