MRATIBU WA PROMOTION HIYO BI MARY RUTTA AKIMKABIDHI BI GERMINA SHAYO ZAWADI YAKE YA HUNDI YA MILLION KUMI BAADA YA KUIBUKA MSHINDI KATIKA PROMOTION HIYO |
Ikiwa
imebaki wiki moja tuu kabla ya kumalizika kwa promoshen yatigo ya CHEZA KWA
FURAHA UNAPOSHINDA KITITA NA TIGO PESA kampuni ya tigo leo imewatajirisha tena
watanzania wengine kwa kuwapatia kiasi cha shilingi million 10 walizoshinda
katika promomotion hiyo ambayo hadi sasa wateja wapatao 2,335 wamenufaika na
mchezo huo
Akizungungumza
na waandishi wa habari jijini dar es salaam mratibu wa promotion hiyo bi MARY
RUTTA amesema kuwa aina ya zawadi zitolewazo katika promotion hiyo ni shilling million 200,000kwa wateja 50 na million
mbili kwa wateja 20 kila wiki na zawadi ya juu kabisa ni shilingi million kumi
wanayoshinda wateja watano kila baada ya wiki mbili.
Bi
RUTTA aliitumia nafasi hiyo kuwakabidhi wateja wawili zawadi zao ambapo katika
washindi wa wiki hii mshindi wa million kumi ni bi GERMINA SHAYO na mshindi wa
million mbili ni MARIAM SAWAYA.
Akizungumza
na wanahabari jijijni dar baada ya kushinda million kumi bi GERMINA SHAYO
amesema kuwa maishya ndani ya tigo yamekuwa mazuri kupita maelezo na
anawashukuru sana tigo kwa kumfanikishia mipango yake na kuwashauri wateja wa
tigo kuendelea kushiriki katika promotion hiyo kwani wanaweza wakaibuka
washindi
NI FURAHA MTINDO MMOJAA |
No comments:
Post a Comment