Wednesday, March 12, 2014

BREAKING NEWZZ---HII NDIO HABARI YA UJAMBAZI ULIOTOKEA DAR MUDA HUU

     MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo Kongowe-Mbagala, jijini Dar!

         Majambazi hayo yametiwa mbaroni na askari polisi zaidi ya kumi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia wakiwa na magari aina ya Land Cruiser yenye namba za usajili T 148 AEN na T 848 AGF! mawili.
MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo Kongowe-Mbagala, jijini Dar!

Majambazi hayo yametiwa mbaroni na askari polisi zaidi ya kumi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia wakiwa na magari aina ya Land Cruiser yenye namba za usajili T 148 AEN na T 848 AGF! - See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/03/breaking-newz-majambazi-mawili.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.ZDCIFIkM.dpuf

No comments: