docta slaa alipokuwa anazungumza na madereva hao muda huu wakati akijaribu kuwatuliza hasira zao walipovamia ofisi zake hapa kinondoni |
madereva hao wa bodaboda na bajaji wakiitikia peoplee power wakati slaa alipokuwa anazungumza nao |
Madereva wa boda boda leo wameandamana mpaka ofisi za chadema makao makuu kuomba msaada baada ya kupigwa marufuku kufika maeneo ya mjini kufanya kazi zake jambo ambalo wao wamelipinga vikali na kudai wanaonewa sana kwa hilo.baada ya kuzungumza na katibu mkuu wa chadema dk WILBBROD SLAA amewaahidi kuwa jumatatu watakwenda mjini wakiwa nae pamoja na hakuna wa kuwazuia kwani ni haki yao kufanya hivyo.hapa faidi picha mbalimbali za tukio nzima lililotokea muda huu
ulinzi ukiwa umeimarishwa kila kona ya ofisi za makao makuu ya chadema muda huu kuhakikisha kuwa aina yoyote ya fujo haitokei |
No comments:
Post a Comment