ndege ambayo amepanda waziri wa mambo ya nje wa ujerumani bw DK FRANK WALTER muda huu akiwasili katika uwanja wa kimataifa wa ndege jk nyerere |
john kery amewasili tayari kuanza ziara yake ya siku moja nchini tanzania |
Add caption |
picha nyingine zikuonyesha mwenyeji wake ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa tanzania BERNARD MEMBE akimpokea waziri mwenzake |
karibu mgeni.HABARI KAMILI ITAKUJIA PINDI ITAKAPOKAMILIKA.ASANTENI |
No comments:
Post a Comment