mgombea ubunge wa jimbo la chalinze kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mathayo torongei akizungimza na wanahabari muda huu baada ya kutangazwa na john mrema ambaye ndio kiongozi wa kampeni za chalinze kuwa ndiye atakayeibebe bendera ya chadema jimboni hko kupambana na mgombea wa ccm ridhiwan |
No comments:
Post a Comment