Anna
Makinda, mwanasiasa aliyeshika nafasi ya mnadhimu Mkuu Bungeni kwa muda
mrefu zaidi na mfululizo kuliko wote nchini. Ameshika nafasi hiyo chini
ya Mawaziri Wakuu 3 - Sokoine, Salim na Warioba.
Amekuwa Chief Whip kwa miaka 8, 1983-1991
Hongereni wanawake wa Tanzania
Amekuwa Chief Whip kwa miaka 8, 1983-1991
Hongereni wanawake wa Tanzania
No comments:
Post a Comment