Mafuriko
yanayoendelea katika jiji la Dar es Salaam: Nipo bungeni lakini
nimepokea taarifa za mafuriko katika maeneo mbalimbali jimboni kama
Kibamba, Malambamawili, Makoka nk Nimeshatoa maelekezo kwa Katibu
Msaidizi wa Ofisi ya Mbunge Ubungo kufatilia kwa ukaribu na kuzitaarifu
mamlaka husika kwa hatua za haraka. Kwa maeneo mengine yenye mafuriko
tafadhali mpeni taarifa kupitia: 0715-379542 au 0784-379542
- Veronica George and 51 others like this.
No comments:
Post a Comment