Nape
Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na
waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati
akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la
Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na
Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo
zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia
wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo
ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda
kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6
jumapili ijayo. Waandishi
wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi katika
mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze.
No comments:
Post a Comment