Monday, June 23, 2014

BREAKING NEWZZ--SISTA WA PAROKEA YA MAKOKA APIGWA RISASI MA MAJAMBAZI UBUNGO MUDA HUU


HABARI AMBAZO MTANDAO HUU UMEZIPATA MCHANA HUU NI KUWA MAUAJI YAMETOKEA KATIKA ENEO LA UBUNGO RIVER SIDE AMBAPO SISTER WA PAROKEA YA MAKOKA AMEUAWA NA MAJAMBAZI WALIOKUWA KWENYE PIKIPIKI AKITOKEA DUKANI,KABLA YA KUUAWA SISTER HUYO DEREVA WAKE ALIPIGWA RISASI YA MKONONI NA MAJAMBAZI HAO.


HABARI ZAIDI TUTAKULETEA TUKIZIPATA-THANX http://dj-sek.blogspot.com/

No comments: