Monday, June 23, 2014

samahani kwa baadhi ya picha sio nzuri kutizama--SISTA ALIYEPIGWA RISASI LEO MCHANA MAENEO YA UBUNGO NA MAJAMBAZI ,PICHA KADHAA ZA TUKIO ZIKO HAPA

PICHA YA SISTA AMBAYE AMEPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI MAENEO YA UBUNGO RIVER SIDE MCHANA WA LEO 
MKONO WA DEREVA ULIOPIGWA RISASI( picha zote na mdau wetu toka GPL

DEREVA WAKE AMBAYE AMEPIGWA RISASI YA MKONO NA MAJAMBAZI HAO

No comments: