Tuesday, June 17, 2014

SASA RASMI--SELECTION ZA KWENDA KIDATO CHA TANO MWAKA HUU ZIKO HAPA,TAFUTA JINA LAKO HAPA



Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013. 

Majina  ya  Wanafunzi  waliochaguliwa  kujiunga  Kidato  cha  Tano  mwaka  2014

1. Wasichana --- Shule Zote


AU

2. Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L  

AU

3 .Wavulana --- Majina ya Shule M mpaka Z  
AU

No comments: