Muonekano wa msikiti huo kwa nje |
Waislam mbalimbali ambao wamejitokeza leo katika msikiti huo leo jijini dar es salaamkushughudia uzinduzi huo wa msikiti wa kihistoria jijini Dar es salaam |
Makamu wa rais wa tanzania MOHAMED GHARIB BILAL bilal alihudhiria swala ya uzinduzi wa msikiti huo ,hapa akisalimiana na waumini wengine waliokusanyika hapo |
BAKHRESA akiagana na mzee MWINYI baada ya kukamilika kwa uzinduzi huo leo |
No comments:
Post a Comment