Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma Kuanza nngwe ya pili ya mjadala baada ya kuahirishwa Tarehe 25 April 2014 kulipisha Bunge na Bajeti na Baraza la Wawakilishi Zanzibar |
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sita akitoa maelezo kabla ya kuanga kwa Bunge hilo katika awamu ya pili nay a mwisho ya 60 zilizobakia katika majadala wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment