TIGO YADHAMINI SHINDANO LA KUBUNI TOVUTI KWA WANAFUNZI WASICHANA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Wanafunzi wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa ‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
No comments:
Post a Comment