Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Saa ya ukutani kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment