Wakati noto la uchaguzi likiendelea kupanda katika majimbo mbalimbali nchini Tanzania msanii maarufu ambaye anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Mikumi kwa tiketi ya chadema Profesa Jay ameendelea na ziara ambazo hazina kikomo katika Jimbo hilo akifungua matawi Mbalimbali ya chama hichoJana ikawa zamu ya boda boda,na hiki ndicho alichoandikia katika Mtandao wake wa Kijamii Baada ya ziara hiyo |
"Leo nimefungua rasmi Tawi maarufu la BODA BODA lililopo kwenye Kata ya KISAWASAWA Jimbo la KILOMBERO!!! Hakuna kula hakuna kulala mpaka KIELEWEKE!"
No comments:
Post a Comment