Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 |
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Morogoro baada ya kuwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 |
Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mhe. Edward Ngoyai Lowassa katika viwanja vya Tem k2,leo Ijumaa 23 Oktoba 2015
KILINDI SASA
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika uwanja wa Kwediboma Kilindi kwa ajili ya mkutano wa kampeni,jana Alhamisi 22/10/2015
No comments:
Post a Comment