Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa akiweka shada kwenye kaburi la
John Michael Dalali ( Baba mzazi wa Mhe. John John Mnyika)
Mhe. John John Mnyika Mbunge wa Jimbo la Kibamba akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la Baba yake mzazi.
Katibu Mkuu Chadema Vincent Mashinji akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la John Michael Dalali

Wabunge wa vyama mbalimbali wakiweka mashada kwenye kaburi la John Michael Dalali( Baba mzazi wa Mhe. John John Mnyika)
Mke wa marehemu John Michael Dalali akiweka udongo kwenye kaburi aliyekuwa mme wake.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mhe. Edward Lowassa akiweka udongo kwenye kaburi la John Michael Dalali ( Baba Mzazi wa Mhe. John John Mnyika)
Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mhe. Edward Lowassa akipokelewa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob l, akiwasi eneo la makaburi ya Changombe katika mazishi ya John Michael Dalali ( Baba mzazi wa Mhe. John Mnyika)
No comments:
Post a Comment