Daniel Manota ni mhitimu wa mafunzo ya ualimu Ilonga Tc
mwaka 2015.anasumbuliwa na maradhi ya FIGO tangu mwezi wa 10/2015,kwa
sasa yuko Mhimbili hospital,hari yake inazidi kuwa mbaya kwa kukosa pesa
za kununua dawa,hivyo kama ndugu ,jamaa na rafiki unaombwa kumchangia
ili aweze kununua dawa zake zinazogharimu kiasi cha sh.milion 1 kwa
wiki.
Tunaomba tumuunge mkono kijana mwenzetu ambaye anapata maumivu
makali .MUNGU HUMBARIKI ATOAYE KWA MOYO WA UKUNJUFU.
Tuma mchango kupitia namba hii ,tuunganishe nguvu zetu kwa lengo la kuokoa maisha yake.hii.............. 0659656970. NEEMA URASA
076818874 .DANIEL MANOTA
Tuma mchango kupitia namba hii ,tuunganishe nguvu zetu kwa lengo la kuokoa maisha yake.hii.............. 0659656970. NEEMA URASA
076818874 .DANIEL MANOTA
No comments:
Post a Comment