Wakuu wa Taasisi
na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi; Jeshi la Polisi, Jeshi la
Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Idara ya Uhamiaji, Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Idara
ya Wakimbizi pamoja na wakuu wa vitengo wizarani hapo wakimsikiliza Waziri wa
wizara hiyo, Mwigulu Nchemba, wakati
kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kikao
hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es
Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
No comments:
Post a Comment