Sehemu ya viwanja hivyo vinavyoonekana nyuma ya Kiwanda cha Saruji cha Rhino kilichopo eneo hilo la Kisemvule.
Kijana anayesimamia viwanja hivyo akionesha mipaka.
Viwanja hivyo vikiwa vimepimwa na kuwekewa bicon
Mmoja wa wafanyabiashara alikiangalia viwanja hivyo kwa ajili ya kuvinunua.
VIWANJA VINAUZWA VIMEKWISHA PIMWA
UKUBWA WAKE NI 15X15 BEI NI SHILINGI MILIONI 2 NA NUSU NA VYENYE UKUBWA
WA 30X30 NI SH. MILIONI 5 VIPO KIJIJI CHA KISEMVULE KATA YA VIKINDU
WILAYA YA MKURANGA MKOANI PWANI JIRANI NA KIWANDA CHA SARUJI CHA RHINO
BARABARA KUU YA KWENDA MIKOA YA KUSINI NA VIPO KATIKA MIUNDOMBINU YA
BARABARA, MAJI NA UMEME, ANAYEVIHITAJI ANAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA
NA MUHUSIKA KWA NAMBA 0756430681.
No comments:
Post a Comment