Mkongwe wa muziki wa bongo fleva ambaye amefanya vizuri na ngoma zake kama bado nipo nipo, mwanaume suruali na nyingine kibao sasa amekuja na wimbo wake mpya aliyomshirikisha mwana dada maua sama.
wimbo huo ukiwa umetengenezwa na producer Hammy B toka studio ya B-Hits zilizopo jijini dar es salaam.
Tazama video ya wimbo huo hapa chini===>>>
No comments:
Post a Comment