Balozi wa Cuba hapa nchini,
Profesa Lucas Domingo Hernades akizungumza jambo wakati mazungumzo yao na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (kushoto), Viongozi
Waandamizi wa Jeshi hilo hawapo pichani na Katibu wa Balozi na Mkalima, Sultan
Hamud Said (Kulia) Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es
Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya
kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
|
No comments:
Post a Comment