Monday, July 28, 2014

MAGAZETINI LEO SIKU YA IDDI JUMANNE JULY 29,2014.USIKOSE

1_8d666.jpg
2_c7897.jpg

TAZAMA PICHA NA STORRY VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WALIVYOTINGA MAHAKAMANI,

Washtakiwa wakiwa katika gari la polisi
Washtakiwa wakisubiri kuingia mahakamani.
******
Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha

Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner.

WIZI WA MABENK TANZANIA-KAMISHNA KOVA AUNGURUMA LEO.ATOA PIA NENO LAKE KUELEKEA SIKU YA IDDI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivWEkNwWZDu_fj7GHt8rR9Pq2hyphenhyphenwv2DUwqCYVIIJDR91N8hje08ykCCC-yrBbp-82rL0NcVK9E_KB7ev0nRBUN11SMsJPqfnRm85-p5DpZ258Vy_1Gne4b1K0edRO6AqklZZdCbU8-ljBj/s1600/3.jpgNa Karoli Vinsent
  
         JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya  ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,

          Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja  SIKU moja kupita baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi kuvamia katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo liloko mtaa wa Swahili na kukomba mamilioni ya pesa aliyokuwa nayo Mteja,

       Kauli hiyo imetolewa Mda huu na Kamishna wa Polisi kanda Maalum Dar Es Salaam,Suleiman Kova wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari Jijini Dar Es Salaam,ambapo alisema watu wanaochangia Vitendo hivyo vya Ujambazi kuzidi kuongezeka katika Mabenki mbalimbali hapa nchini ni Wamiliki wa Mabenki kupuuza ushauri wa Jeshi la Polisi ,

UNAKUMBUKA YALE MABILLION YA USWISI.HUU NDIO MUENDELEZO WAKE

Na Karoli Vinsent
UWEZEKANO wa Mabiloni ya Fedha yaliyofichwa na Vigogo kwenye Mabenki mbalimbali nchini Uswizi,sasa inazidi kuwa  ni ndoto kwa mafedha hayo kurudi kutokana na kutokuwa na nia ya Dhati ya Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kufanikisha Fedha hizo kurudi nchini,Mtandao huu umebaini.

          Sakata la Mabilioni hayo ya Uswisi yaliibuliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe,ambaye naye kwa sasa ameoneka kama kufungwa mdomo kwenye sakata hilo la kupambana ili fedha hizo ambazo ni chafu ili zirudi nchini.

Makubwa_SERIKALI YASITISHA AJIRA MPYA KATIKA IDARA YA UHAMIAJI


PICHA: MUONEKANO WA SASA WA UWANJA WA SIMBA SC MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR

10565204_713757485357559_2966525263168566247_nKATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta anahangaika miaka nenda rudi.
Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam.

PICHA ZOTE ZA UCHAGUZI WA CHADEMA ARUSHA MJINI ZIKO HAPA



Huu ndio Uongozi  mpya wa Arusha Mjini ulio Chaguliwa


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Katibu (Arusha Mjini) aliye maliza muda wake ndugu Martine  Sarungi cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akiwaelekeza wajumbe wa mkutano mkuu taratibu na kanuni za Uchaguzi


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Jenipher Kauseria  cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Francis Chuma  cheti cha Pongezi na kofia  kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI


Mh Freeman Mbowe akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Arusha Mjini,amewaeleza umuhimu wa kufanya uchaguzi sahihi wa viongozi wa ngazi ya Jimbo


Wajumbe wa mkutano mkuu wa Arusha  Mjini


Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA  Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia


Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA  Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia

VIDEO--MAANDALIZI YA SIKUKUU YA IDD JIJINI DAR


MAGAZETI YA LEO JUMATATU 28.07.2014 YAKO HAPA


1_a37d6.jpg
2_7301e.jpg
03_efeaf.jpg
3_aa4dd.jpg

Saturday, July 26, 2014

PICHA YA WIKI--RAIS NA WAZIRI MKUU WAKE

b1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa  kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam

exclusive--KWA KAULI HII YA TUNDU LISSU SASA KATIBA MPYA NI MUNGU PEKEE ATATUPA.SOMA ALICHOKISEMA HAPA NA MCHAKATO MZIMA WA KATIBA HADI SASA

Na Karoli Vinsent

            NI Mungu tu ambaye ataweza kuokoa mchakato wa Upatikanaji Katiba Mpya,kutokana na  watu mashuhuri kushidwa kutafuta mwahafaka kwa wajumbe wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA,mchakato huo ambao umebomolewa na Chama cha Mapinduzi CCM kuyapuuza maoni ya wananchi,
         
        Naye,Tundu Lissu amezidi kupigilia msumari na kusema ni Ndoto kwa Wajumbe wanaunda Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA,kurejea kwenye Vikao hivyo vya Bunge la katiba ,kutokana  na hujuma iliyofanywa Chama cha Mapinduzi kwenye mchakato huo wa Katiba.
           

Thursday, July 24, 2014

AJALI MBAYA ILIYOIUZUNISHA NCHI LEO HII HAPA

UMATI WA WAKAZI WA KIJIJI CHA UCHUNGA WAKITAZAMA AJARI YA FUSO
Watu 3 wamekufa na wengine zaidi ya 47 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda mnadani kupinduka wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga.

Ajari hiyo imetokea  asubuhi katika eneo la uchunga wilayani humo baada ya gari hilo haina ya fuso namba T680 ARL kuacha njia na kupinduka.

Chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi na derava wa gari hilo aliyetambulika kwa jina la Shija Ngassa amekimbia  baada ya ajari hiyo

Ajari hiyo ya fuso imesababisha vifo vya watu watatu ambapo moja ametambulika kwa jina la Difa Shimo  mili ya marehemu imehifadhiwa kwenye hospitali ya mkoa wa Shinyanga.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Shinyanga kamishina msaidizi wa polisi Jastus Kamugisha amethibitisha kutokea kwa ajari hiyo.

Kamugisha amesema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo pamoja na kumsaka dereva wa gari hilo sanajali na kutoa onyo kwa wafanya biashara wa minadani kuacha kupanda magari ya mizigo

HILI NDILO ALILOLIFANYA PETER MSIGWA JIMBONI KWAKE LEO

SAM_6953
Baadhi ya misaada iliyotolewa na mbunge wa Iringa mjini Mch. Peter Msigwa kwa kituo cha
chuo cha Kitanzani Islamic center kilichoko mjini Iringa.
SAM_6980
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akikabidhi msaada wa Sukari, kwa Kaimu Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Abubakari Chalamila kwa ajili ya kituo cha Kitanzani Islamic Center kilichoko mjini Iringa.
…………………………………………………………………………………