Saturday, November 30, 2013

HATIMAYE KAPUYA AREJEA NCHINI KWA RAHA ZAKE,








Na Karoli Vinsent

     HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka na kumuambukiza virusi vya ukimwi, amerejea nchini jana akitokea nchini Sweden, huku Jeshi la Polisi likikwama kumtia mbaroni kama lilivyokuwa likitamba.
ENDELEA HAPO CHINI--------

ARUSHA CHADEMA YAPASUKA VIPANDE,CHADEMA ASILI NA CHADEMA FAMILY





Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama kwa kuanzisha kikundi cha vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale wanaojaribu kupingana na sera za Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha kwa sasa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili, amabyo ni CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY.
Mzalendo Blog

Thursday, November 28, 2013

TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013


TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013

 
       Jana katika taarifa kwa waandishi wa habari, Mhe. Tundu Lissu na Mhe. John Mnyika waliudanganya umma kuhusu waraka unaohusu Mkakati wa Mabadiliko 2013. Katika maelezo yao waheshimiwa hawa, pamoja na mambo mengine, walidai kuwa waraka uliosambazwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni feki. Ukweli ni kwamba:
 
        Ninathibitisha kwamba waraka uliosambazwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii ni sahihi neno kwa neno kama nilivyousoma katika magazeti ya HabariLeo, Jamhuri na Rai, pamoja na nakala iliyopo Jamii Forum. Ili kuthibitisha kwamba waraka ule ndio wenyewe, nawatumieni ‘soft copy’ kutoka kwenye kompyuta mpakato (laptop) yangu ambako ndiko ulikoibwa na viongozi wa chama baada ya kunipora kwa nguvu laptop yangu Oktoba 25 na kukaa nayo hadi jioni ya Oktoba 28. 
 
              Naomba kila mtu asome neno kwa neno waraka ninaowapa leo halafu afananishe na ule uliopo kwenye magazeti na kwenye mtandao ili mjiridhishe kama kweli sio wenyewe. Kama Lissu na wenzake wana mpango wa kuuchakachua waraka huu wamekwama!
  ENDELEA KUUSOMA HAPA------------

BAADA YA KAPUYA KUDAIWA KUTOROKA NCHINI KUKWEPA POLISI,SASA ATEGWA UWANJA WA NDEGE

Na Karoli Vinsent

   BAADA ya kufanikiwa kuukwepa mtego wa polisi na kufanikiwa kutimkia nje ya nchi kukwepa mkono wa sheria dhidi ya tuhuma za kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka na kumuambukiza Virusi vya ukimwi, Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), huenda akatiwa mbaroni katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere siku atakayorejea nchini, Habari24 limedokezwa.
ENDELEA ZAID HAPO CHINI--

MZEE WA MIAKA 55 ABAKA MTOTO WA MIAKA 12 NA KUJITOSA BAHARINI KUKWEPA MKONO WA DOLA

Na Mohamded Mhina wa Jeshi la Polisi, Zanzibar 

          Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 55, mkazi wa Kijiji cha Kidutani Gando mkoa wa Kaskazini Pemba ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 na baadaye kujitosa bahari kukwepa mkono wa dola.
ENDELEA HAPO CHINI-----------

USAFI WA MITARO ENEO LA MAKUMBUSHO IMEKUWA TATIZO KUBWA,MAGONJWA YA MLIPUKO YANAWEZA KUTOKEA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhOCmuGJqKH-HrgxpJCn-pvtQ1XrjhyphenhyphenzuPoofRTrt-N45nv-gLTo2QB4dexJMJm5QTmc-iAVIivX98qaSHrsJzhizn9dA4pv8MVC0QTrm_jTA9pvcYHzDCJ2v_hWuVcZQEcXa1hpz1K_Gw3/s1600/Photo2929.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgw81X5z-HorMP68VfnZTgCeoNIhpSg6xyiuEl6v6Mi0jD0xPSbidxuWPDMBYtUq6olqM6jAd2QFO4iqA8g3BMS8-HxTFMA0gaWqq6VsqH2IS9cD1_JczcB4-Z1orb3nUTRWgzfqToUYeB5/s640/Photo2930.jpghttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibb_mCdKIu7yqxcBafmeRv4VaBvZUXsMHT_pOxRKadO9x89t2GIRYb-rZYLCS_5F0GqgvZ_vGx6TsyJIUdl6TFa1c5miJuC1TxO-ch5yLwVJGBmmr4yF8OC8Yx7xqIOxXfbRmB3VEqWwrK/s1600/Photo2932.jpg

MAKAMU WA RAISI AFUNGUA MADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TCRA,ATOA NENO


SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano na mamlaka ya mawasiliano Tanzania  TCRA ili kuiwezesha mamlaka hiyo iweze kufikia malengo yaliyokusudiwa .

Rai hiyo imetolewa na Makamu wa raisi wa jumhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mohammed Gharib Bilali katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA.

Katika kipindi cha miaka kumi mamlaka ya mawasiliano TCRA imelifanya Taifa kupiga hatua katika maendeleo kiuchumi.

Pamoja na hayo Bilali amezitaka kampuni za mawasiliano zisambaze huduma zake zote katika maeneo yote hapa nchini kwani serikali kupitia mfuko wa kusambaza huduma za mawasiliano watahakikisha wanatoa huduma wanao nufaika na mfuko huo kwa manufaa ya wananchi.

Hata hivyo ametoa wito kwa makampuni kutoa fursa ya mafunzo na elimu ya kisasa ya mifumo mipya ya mawasiliano kwa wafanyakazi wake ili waendane na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia.
mwishooo

Wednesday, November 27, 2013

HAYA SASA TUMEENDA KWENYE FACEBOOK ZA SUGU NA PETER MSIGWA HIKI NDICHO WANACHOKIANDIKA KUHUSU SAKATA LA ZITO

         Kutoka kwenye facebook page za Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini 92.9 na Joseph Mbilinyi wa Mbeya mjini 87.8.
Joseph Mbilinyi Nov 23 2013
Joseph Mbilinyi Nov 10 2013
Peter Msigwa on CDM 7 Peter Msigwa on CDM 6 Peter Msigwa on CDM 5 Peter Msigwa on CDM 2 Peter Msigwa on CDM 3 Peter Msigwa on CDM 4 Peter Msigwa on CDM 8 Peter Msigwa on CDM

Use Facebook to Comment on this Post

ALICHOKIANDIKA MH ZITTO KABWE KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK LEO NOV 27/2013




Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.
Zitto Kabwe Nov 27 2013 1

BANDARINI MAJANGA ,MPANGO WA KUSUKA UFISADI WANASWA,MSUGUANO MKUBWA WAIBUKA,SOMA ZAIDI

Na Karoli Vinsent

    MSUGUANO umeibuka ndani ya Bandari Tanzania (TPA) kutokana na kuwepo tuhuma za maandalizi ya manunuzi ya kifisadi kupitia kitengo cha manunuzi cha mamlaka hiyo, imefahamika.
 soma zaidi hapo chini---------

BREAKING NEWZZ--KINACHOENDELEA TCRA ----TCRA YATOA UDHAMINI WA MASOMO KWA WANAFUNZI TISA MUDA HUU

TUNAPOKEA CHETI CHA UDHAMINI

WANAFUNZI HAO PIA WALIPATA NAFASI YA KUPEWA COMPUTER KWA AJILI YA KUSOMEA
          Mamlaka ya mawaliano tanzania TCRA leo imetoa udhamini wa masomo kwa jumla ya wanafuzi tisa wa masomo ya mawasiliano katika vyuo mbalimbali nchini tanzania ambapo wametakiwa kusoma kwa bidii ili kulikomboa taifa la tanzania.
MMOJA KATI YA WANAFUNZI HAO AKITOA SHUKRANI KWA MAMLAKA YA MAWASILANO TANZANIA KWA UDHAMINI HUO WA MASOMO
HAWA NDIO WANAFUZI WALIOPATA UDHAMINI WA MASOMO KUTOKA TCRA LEO
wanafunzi hao wamepatikana kwa vigezo vya kufanya vizuri sana katika masomo mbalombali katika vyuo na shule walizosoma

MAANDALIZI YA YA MAONESHO YA WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TCRA YANAENDELA VIWANJA VYA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.

 Maandalizi yakiwa yanaendelea
 Baadhi ya makampuni yakiwa yanaendelea kujiweka sawa kwa ajili ya maonesho hayo  muhimu ya miaka 10 ya TCRA
 Banda la CDS Likiwa linaendelea kukamilika

 Banda la Startimes likiwa linaendelea kukamilika
 Kijana akiwa anaendelea kupamba baadhi ya mabanda hayo
 Kazi ya mapambo inaendelea

Tuesday, November 26, 2013

PICHA ZA AWALI ZA KINACHOENDELEA KATIKA OFISI ZA TCRA SASA HIVI,NI HAFLA YA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TCRA WAKIWA WAMEKAA TAYARI KABISA KUANZA KWA HAFLA HIYO

 TUNAOMBA RADHI KWA MUONEKANO HAFIFU WA PICHA NIKUTOKANA NA MATATIZO MADOGO MADOGO


UJUMBE WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA CHINA WAKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimkaribisha Kiongozi wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana wa Jimbo la Shandong,  Xia  Geng kwenye  Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dares Salaam. Ujumbe huo umehusisha magavana na wafanyabiashara kutoka nchini China ambapo ulikutana na Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Lengo la mkutano huo ni kudumisha ushirikiano katika masuala ya biashara na uchumi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
              Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimkaribisha Kiongozi wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana wa Jimbo la Shandong, Xia Geng kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dares Salaam. 

            Ujumbe huo umehusisha magavana na wafanyabiashara kutoka nchini China ambapo ulikutana na Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Lengo la mkutano huo ni kudumisha ushirikiano katika masuala ya biashara na uchumi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 ENDELEA HAPO CHINI-----------

HAYA SASA CHADEMA WAMJIBU ZITO LEO,MNYIKA ASEMA ZITO AACHE UONGO,WASEMA AKIENDELEA KUDANGANYA WATAFANYA MAAMUZI MAGUMU,WAANIKA UKWELI WOTE WA SAKATA LAO,SOMA HAPA KWA UMAKINI UELEWE

JOHN MNYIKA AKITOA UFAFANUZI KWA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Karoli Vinsent

            SIKU chache baada ya aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe kikushutumu chadema kwa uamuzi wa kumvua uongozi aliokuwa nao ndani ya chama hicho.Chama cha Demokrasia na Maendeleo “chadema” kimeibuka na kumpa ukweli wake.
      
           Ukweli wa chama hicho ulitolewa na Mwanasheria wa Chama hicho,ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki TUNDU LISU  pamoja Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama hicho ambaye pia ni mbunge wa jimbo la ubungu JOHN MNYIKA,leo makao makuu ya chama hicho jijini dar es salaam  wakati wakizungumza na wahariri pamoja na wandishi wa habari
     
             Kuhusu sababu ya kumvua uongozi ndani ya chadema ENDELEA HAPO CHINI---------

LOWASA AZIDI KUIPINGA ELIMU YA TANZANIA WAZI WAZI,SOMA ALICHOKISEMA


 Na Karoli Vinsent

       WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), amewaomba wanachama wa chama hicho kuhakikisha wanaweka ushawishi katika suala la elimu bure na bora ili iwe ajenda ya kwanza katika ilani ijayo ya uchaguzi wa chama hicho.

      Akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kigamboni alipokwenda kukabidhi madawati shule za msingi za kata hiyo, Lowassa alisema kutokana na kuhitaji kuona Watanzania wanapata elimu bora ni muhimu ajenda hiyo ikapendekezwa na kila mwanachama wa CCM.
ENDELEA KUSOMAHAPO CHINI-------

Monday, November 25, 2013

TAZAMA PICHA ZA MAZIKO YA MWANAMKE ALIYEPIGWA RISASI ILALA DAR MAREHEMU



 Baadhi ya waombolezaji.
Aliyekuwa mfanyakazi wa  Benki ya Barclays, Alpha Alfred Newa aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel Munisi Novemba 19 Ilala Bungoni amezikwa leo katika shamba la familia huko Goba jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Baba mzazi wa Francis Shumila (katikati), Shumila ambaye alikuwa shemeji yake Alpha aliuawawa katika shambulio hilo.  Kushoto ni mama yake marehemu Francis Shumila.

 Baadhi ya ndugu na jama wakipata chakula kabla ya kuanza zoezi la kuaga mwili.





 Wazazi wa marehemu, Kaptaini Francis Shumila wakiwa msibani.

 Ndugu wa marehemu Alpha Newa.




 Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu, Alpha Afred Newa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach.
PICHA NYINGINE BONYEZA HAPO CHINI--------